Native Bible

Ruth 4:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, “Naomi ana mtoto wa kiume.” Wakamwita jina lake Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi.

Ruth 4:17 in English

Ruth 4:17 · Berean Standard Bible

The neighbor women said, “A son has been born to Naomi,” and they named him Obed. He became the father of Jesse, the father of David.

Context

15Atakurejeshea uhai wako na kukuangalia katika siku za uzee wako. Kwa maana mkweo ambaye anakupenda, na ambaye kwako ni bora zaidi ya watoto wa kiume saba, ndiye alimzaa.” 16Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake. 17Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, “Naomi ana mtoto wa kiume.” Wakamwita jina lake Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi. 18Hivi ndivyo vizazi vya Peresi: Peresi alimzaa Hesroni, 19Hesroni akamzaa Ramu, Ramu akamzaa Aminadabu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.