Ruthu 4:16
Ruth 4:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake.
Ruth 4:16 in English
Ruth 4:16 · Berean Standard Bible
And Naomi took the child, placed him on her lap, and became a nurse to him.
Context
14Wanawake wakamwambia Naomi: “Ahimidiwe Bwana, asiyekuacha bila kuwa na jamaa wa karibu wa kukomboa. Na awe mashuhuri katika Israeli yote! 15Atakurejeshea uhai wako na kukuangalia katika siku za uzee wako. Kwa maana mkweo ambaye anakupenda, na ambaye kwako ni bora zaidi ya watoto wa kiume saba, ndiye alimzaa.” 16Basi Naomi akamchukua yule mtoto, akampakata na akawa mlezi wake. 17Wanawake waliokuwa jirani zake wakasema, “Naomi ana mtoto wa kiume.” Wakamwita jina lake Obedi. Yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi. 18Hivi ndivyo vizazi vya Peresi:
Peresi alimzaa Hesroni,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.