Warumi 9:2
Romans 9:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nina huzuni kuu na uchungu usiokoma moyoni mwangu.
Romans 9:2 in English
Romans 9:2 · Berean Standard Bible
I have deep sorrow and unceasing anguish in my heart.
Context
1Ninasema kweli katika Kristo, wala sisemi uongo, dhamiri yangu inanishuhudia katika Roho Mtakatifu. 2Nina huzuni kuu na uchungu usiokoma moyoni mwangu. 3Kwa maana ningetamani hata mimi nilaaniwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu hasa, wale walio wa kabila langu kwa jinsi ya mwili, 4yaani, watu wa Israeli, ambao ndio wenye kule kufanywa wana, ule utukufu wa Mungu, yale maagano, kule kupokea sheria, ibada ya kwenye Hekalu na zile ahadi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.