Native Bible

Romans 9:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninasema kweli katika Kristo, wala sisemi uongo, dhamiri yangu inanishuhudia katika Roho Mtakatifu.

Romans 9:1 in English

Romans 9:1 · Berean Standard Bible

I speak the truth in Christ; I am not lying, as confirmed by my conscience in the Holy Spirit.

Context

1Ninasema kweli katika Kristo, wala sisemi uongo, dhamiri yangu inanishuhudia katika Roho Mtakatifu. 2Nina huzuni kuu na uchungu usiokoma moyoni mwangu. 3Kwa maana ningetamani hata mimi nilaaniwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu hasa, wale walio wa kabila langu kwa jinsi ya mwili,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.