Native Bible

Romans 9:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tuseme nini basi? Je, Mungu ni dhalimu? La, hasha!

Romans 9:14 in English

Romans 9:14 · Berean Standard Bible

What then shall we say? Is God unjust? Certainly not!

Context

12si kwa matendo, bali kwa yeye mwenye kuita, Rebeka aliambiwa, “Yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.” 13Kama vile ilivyoandikwa, “Nimempenda Yakobo, lakini nimemchukia Esau.” 14Tuseme nini basi? Je, Mungu ni dhalimu? La, hasha! 15Kwa maana Mungu alimwambia Mose, “Nitamrehemu yeye nimrehemuye, na pia nitamhurumia yeye nimhurumiaye.” 16Kwa hiyo haitegemei kutaka kwa mwanadamu au jitihada, bali hutegemea huruma ya Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.