Native Bible

Romans 9:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

si kwa matendo, bali kwa yeye mwenye kuita, Rebeka aliambiwa, “Yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”

Romans 9:12 in English

Romans 9:12 · Berean Standard Bible

not by works but by Him who calls, she was told, “The older will serve the younger.”*

Context

10Wala si hivyo tu, bali pia watoto aliowazaa Rebeka walikuwa na baba huyo huyo mmoja, yaani, baba yetu Isaki. 11Lakini, hata kabla hao mapacha hawajazaliwa au kufanya jambo lolote jema au baya, ili kwamba kusudi la Mungu la kuchagua lipate kusimama, 12si kwa matendo, bali kwa yeye mwenye kuita, Rebeka aliambiwa, “Yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.” 13Kama vile ilivyoandikwa, “Nimempenda Yakobo, lakini nimemchukia Esau.” 14Tuseme nini basi? Je, Mungu ni dhalimu? La, hasha!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.