Warumi 4:8
Romans 4:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Heri mtu yule Bwana hamhesabii dhambi zake.”
Romans 4:8 in English
Romans 4:8 · Berean Standard Bible
Blessed is the man whose sin the Lord will never count against him.”*
Context
6Daudi pia alisema vivyo hivyo aliponena juu ya baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo: 7“Wamebarikiwa wale
ambao wamesamehewa makosa yao,
ambao dhambi zao zimefunikwa. 8Heri mtu yule
Bwana hamhesabii dhambi zake.” 9Je, huku kubarikiwa ni kwa wale waliotahiriwa peke yao, au pia na kwa wale wasiotahiriwa? Tunasema, “Imani ya Abrahamu ilihesabiwa kwake kuwa haki.” 10Je, ni lini basi ilipohesabiwa kwake kuwa haki? Je, ilikuwa kabla au baada ya kutahiriwa kwake? Haikuwa baada, ila kabla hajatahiriwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.