Native Bible

Warumi 16:24

Swahili· Change

Romans 16:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amen.]

Context

22Mimi, Tertio, niliye mwandishi wa waraka huu, nawasalimu katika Bwana. 23Gayo, ambaye ni mwenyeji wangu na wa kanisa lote, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto ndugu yetu pia wanawasalimu. [ 24Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amen.] 25Sasa atukuzwe yeye awezaye kuwafanya ninyi imara kwa Injili yangu na kuhubiriwa kwa Yesu Kristo, kutokana na kufunuliwa siri zilizofichika tangu zamani za kale. 26Lakini sasa siri hiyo imefunuliwa na kujulikana kupitia maandiko ya kinabii kutokana na amri ya Mungu wa milele, ili mataifa yote yaweze kumwamini na kumtii

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.