Warumi 16:22
Romans 16:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mimi, Tertio, niliye mwandishi wa waraka huu, nawasalimu katika Bwana.
Romans 16:22 in English
Romans 16:22 · Berean Standard Bible
I, Tertius, who wrote down this letter, greet you in the Lord.
Context
20Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi.
Neema ya Bwana wetu Yesu iwe nanyi. Amen. 21Timotheo, mtendakazi mwenzangu anawasalimu. Vivyo hivyo Lukio, Yasoni, na Sosipatro, ndugu zangu. 22Mimi, Tertio, niliye mwandishi wa waraka huu, nawasalimu katika Bwana. 23Gayo, ambaye ni mwenyeji wangu na wa kanisa lote, anawasalimu.
Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto ndugu yetu pia wanawasalimu.
[ 24Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amen.]
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.