Native Bible

Romans 15:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu wa amani na awe pamoja nanyi nyote. Amen.

Romans 15:33 in English

Romans 15:33 · Berean Standard Bible

The God of peace be with all of you. Amen.*

Context

31Ombeni ili nipate kuokolewa mikononi mwa wale wasioamini walioko Uyahudi, na kwamba utumishi wangu upate kukubaliwa na watakatifu wa huko Yerusalemu, 32ili kwa mapenzi ya Mungu niweze kuja kwenu kwa furaha, nami niburudishwe pamoja nanyi. 33Mungu wa amani na awe pamoja nanyi nyote. Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.