Warumi 11:35
Romans 11:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Au ni nani aliyempa chochote ili arudishiwe?”
Romans 11:35 in English
Romans 11:35 · Berean Standard Bible
“Who has first given to God, that God should repay him?”*
Context
33Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri
wa hekima na maarifa ya Mungu!
Tazama jinsi ambavyo hukumu zake hazichunguziki,
na ambavyo njia zake zisivyotafutikana! 34“Ni nani aliyeyafahamu mawazo ya Bwana?
Au ni nani ambaye amekuwa mshauri wake?” 35“Au ni nani aliyempa chochote
ili arudishiwe?” 36Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, viko kwake na kwa ajili yake.
Utukufu ni wake milele! Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.