Ufunuo 22:21
Revelation 22:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Neema ya Bwana Yesu iwe na watakatifu wote. Amen.
Revelation 22:21 in English
Revelation 22:21 · Berean Standard Bible
The grace of the Lord Jesus * be with all the saints.* Amen.*
Context
19Kama mtu yeyote akipunguza humo chochote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki. 20Yeye anayeshuhudia mambo haya asema, “Hakika, naja upesi!”
Amen. Njoo, Bwana Yesu. 21Neema ya Bwana Yesu iwe na watakatifu wote. Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.