Ufunuo 22:20
Revelation 22:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye anayeshuhudia mambo haya asema, “Hakika, naja upesi!” Amen. Njoo, Bwana Yesu.
Revelation 22:20 in English
Revelation 22:20 · Berean Standard Bible
He who testifies to these things says, “Yes, I am coming soon.” Amen. Come, Lord Jesus!
Context
18Namwonya kila mtu asikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki: Mtu yeyote akiongeza humo chochote, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki. 19Kama mtu yeyote akipunguza humo chochote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki. 20Yeye anayeshuhudia mambo haya asema, “Hakika, naja upesi!”
Amen. Njoo, Bwana Yesu. 21Neema ya Bwana Yesu iwe na watakatifu wote. Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.