Native Bible

Revelation 21:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utukufu na heshima za mataifa zitaletwa humo.

Revelation 21:26 in English

Revelation 21:26 · Berean Standard Bible

And into the city will be brought the glory and honor of the nations.

Context

24Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake. 25Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo. 26Utukufu na heshima za mataifa zitaletwa humo. 27Lakini kitu kichafu hakitaingia humo kamwe, wala mtu yeyote atendaye mambo ya aibu au ya udanganyifu. Bali watakaoingia humo ni wale tu ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.