Ufunuo 21:25
Revelation 21:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo.
Revelation 21:25 in English
Revelation 21:25 · Berean Standard Bible
Its gates will never be shut at the end of the day, because there will be no night there.
Context
23Ule mji hauhitaji jua wala mwezi kuuangazia, kwa sababu utukufu wa Mungu ndio nuru yake na Mwana-Kondoo ndiye taa yake. 24Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake. 25Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo. 26Utukufu na heshima za mataifa zitaletwa humo. 27Lakini kitu kichafu hakitaingia humo kamwe, wala mtu yeyote atendaye mambo ya aibu au ya udanganyifu. Bali watakaoingia humo ni wale tu ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.