Ufunuo 21:24
Revelation 21:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.
Revelation 21:24 in English
Revelation 21:24 · Berean Standard Bible
By its light the nations will walk, and into it the kings of the earth will bring their glory.*
Context
22Sikuona Hekalu ndani ya huo mji kwa sababu Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana-Kondoo ndio hekalu lake. 23Ule mji hauhitaji jua wala mwezi kuuangazia, kwa sababu utukufu wa Mungu ndio nuru yake na Mwana-Kondoo ndiye taa yake. 24Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake. 25Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo. 26Utukufu na heshima za mataifa zitaletwa humo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.