Ufunuo 2:4
Revelation 2:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Lakini nina neno dhidi yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza.
Revelation 2:4 in English
Revelation 2:4 · Berean Standard Bible
But I have this against you: You have abandoned your first love.
Context
2Nayajua matendo yako, bidii yako na saburi yako. Najua kuwa huwezi kuvumiliana na watu waovu na ya kwamba umewajaribu wale wanaojifanya kuwa mitume na kumbe sio, nawe umewatambua kuwa ni waongo. 3Umevumilia na kustahimili taabu kwa ajili ya Jina langu, wala hukuchoka. 4“Lakini nina neno dhidi yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza. 5Kumbuka basi ni wapi ulikoangukia! Tubu na ukafanye matendo yale ya kwanza. Kama usipotubu, nitakuja kwako na kukiondoa kinara chako cha taa kutoka mahali pake. 6Lakini una jambo hili kwa upande wako: Unayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo nami pia nayachukia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.