Native Bible

Psalms 98:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

vyote na viimbe mbele za Bwana, kwa maana yuaja kuhukumu dunia. Atahukumu dunia kwa haki na mataifa kwa haki.

Psalms 98:9 in English

Psalms 98:9 · Berean Standard Bible

before the LORD, for He comes to judge the earth. He will judge the world with righteousness and the peoples with equity.

Context

7Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake, dunia na wote wakaao ndani yake. 8Mito na ipige makofi, milima na iimbe pamoja kwa furaha, 9vyote na viimbe mbele za Bwana, kwa maana yuaja kuhukumu dunia. Atahukumu dunia kwa haki na mataifa kwa haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.