Native Bible

Psalms 98:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mito na ipige makofi, milima na iimbe pamoja kwa furaha,

Psalms 98:8 in English

Psalms 98:8 · Berean Standard Bible

Let the rivers clap their hands, let the mountains sing together for joy

Context

6kwa tarumbeta na mvumo wa baragumu za pembe za kondoo dume: shangilieni kwa furaha mbele za Bwana, aliye Mfalme. 7Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake, dunia na wote wakaao ndani yake. 8Mito na ipige makofi, milima na iimbe pamoja kwa furaha, 9vyote na viimbe mbele za Bwana, kwa maana yuaja kuhukumu dunia. Atahukumu dunia kwa haki na mataifa kwa haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.