Zaburi 98:7
Psalms 98:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake, dunia na wote wakaao ndani yake.
Psalms 98:7 in English
Psalms 98:7 · Berean Standard Bible
Let the sea resound, and all that fills it, the world, and all who dwell in it.
Context
5mwimbieni Bwana kwa kinubi,
kwa kinubi na sauti za kuimba, 6kwa tarumbeta na mvumo wa baragumu za pembe za kondoo dume:
shangilieni kwa furaha mbele za Bwana, aliye Mfalme. 7Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake,
dunia na wote wakaao ndani yake. 8Mito na ipige makofi,
milima na iimbe pamoja kwa furaha, 9vyote na viimbe mbele za Bwana,
kwa maana yuaja kuhukumu dunia.
Atahukumu dunia kwa haki
na mataifa kwa haki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.