Native Bible

Psalms 90:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utufurahishe kulingana na siku ulizotuadhibu, kulingana na miaka tuliyotaabika.

Psalms 90:15 in English

Psalms 90:15 · Berean Standard Bible

Make us glad for as many days as You have afflicted us, for as many years as we have seen evil.

Context

13Ee Bwana, uwe na huruma! Utakawia hata lini? Wahurumie watumishi wako. 14Tushibishe asubuhi kwa upendo wako usiokoma, ili tuweze kuimba kwa shangwe na kufurahi siku zetu zote. 15Utufurahishe kulingana na siku ulizotuadhibu, kulingana na miaka tuliyotaabika. 16Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, utukufu wako kwa watoto wao. 17Wema wa Bwana Mungu wetu uwe juu yetu; uzithibitishe kazi za mikono yetu: naam, uzithibitishe kazi za mikono yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.