Zaburi 90:13
Psalms 90:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, uwe na huruma! Utakawia hata lini? Wahurumie watumishi wako.
Psalms 90:13 in English
Psalms 90:13 · Berean Standard Bible
Return, O LORD! How long will it be? Have compassion on Your servants.
Context
11Ni nani ajuaye nguvu za hasira yako?
Kwa maana ghadhabu yako ni kubwa
kama hofu tunayopaswa kuwa nayo kwako. 12Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri,
ili tujipatie moyo wa hekima. 13Ee Bwana, uwe na huruma! Utakawia hata lini?
Wahurumie watumishi wako. 14Tushibishe asubuhi kwa upendo wako usiokoma,
ili tuweze kuimba kwa shangwe na kufurahi siku zetu zote. 15Utufurahishe kulingana na siku ulizotuadhibu,
kulingana na miaka tuliyotaabika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.