Native Bible

Psalms 90:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, utukufu wako kwa watoto wao.

Psalms 90:16 in English

Psalms 90:16 · Berean Standard Bible

May Your work be shown to Your servants, and Your splendor to their children.

Context

14Tushibishe asubuhi kwa upendo wako usiokoma, ili tuweze kuimba kwa shangwe na kufurahi siku zetu zote. 15Utufurahishe kulingana na siku ulizotuadhibu, kulingana na miaka tuliyotaabika. 16Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, utukufu wako kwa watoto wao. 17Wema wa Bwana Mungu wetu uwe juu yetu; uzithibitishe kazi za mikono yetu: naam, uzithibitishe kazi za mikono yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.