Native Bible

Psalms 89:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msifuni Bwana milele! Amen na Amen.

Psalms 89:52 in English

Psalms 89:52 · Berean Standard Bible

Blessed be the LORD forever! Amen and amen.

Context

50Bwana kumbuka jinsi mtumishi wako amesimangwa, jinsi ninavyovumilia moyoni mwangu dhihaka za mataifa yote, 51dhihaka ambazo kwazo adui zako wamenisimanga, Ee Bwana, ambazo kwazo wamesimanga kila hatua ya mpakwa mafuta wako. 52Msifuni Bwana milele! Amen na Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.