Native Bible

Psalms 88:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, Mungu uniokoaye, nimelia mbele zako usiku na mchana.

Psalms 88:1 in English

Psalms 88:1 · Berean Standard Bible

O LORD, the God of my salvation, day and night I cry out before You.

Context

1Ee Bwana, Mungu uniokoaye, nimelia mbele zako usiku na mchana. 2Maombi yangu yafike mbele zako, utegee kilio changu sikio lako. 3Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, na maisha yangu yanakaribia kaburi.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.