Native Bible

Psalms 84:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nafsi yangu inatamani sana, naam, hata kuona shauku, kwa ajili ya nyua za Bwana; moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu Aliye Hai.

Psalms 84:2 in English

Psalms 84:2 · Berean Standard Bible

My soul longs, even faints, for the courts of the LORD; my heart and my flesh cry out for the living God.

Context

1Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, makao yako yapendeza kama nini! 2Nafsi yangu inatamani sana, naam, hata kuona shauku, kwa ajili ya nyua za Bwana; moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu Aliye Hai. 3Hata shomoro amejipatia makao, mbayuwayu amejipatia kiota mahali awezapo kuweka makinda yake: mahali karibu na madhabahu yako, Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mfalme wangu na Mungu wangu. 4Heri wale wanaokaa nyumbani mwako, wanaokusifu wewe daima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.