Native Bible

Psalms 84:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, makao yako yapendeza kama nini!

Psalms 84:1 in English

Psalms 84:1 · Berean Standard Bible

How lovely is Your dwelling place, O LORD of Hosts!

Context

1Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, makao yako yapendeza kama nini! 2Nafsi yangu inatamani sana, naam, hata kuona shauku, kwa ajili ya nyua za Bwana; moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu Aliye Hai. 3Hata shomoro amejipatia makao, mbayuwayu amejipatia kiota mahali awezapo kuweka makinda yake: mahali karibu na madhabahu yako, Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mfalme wangu na Mungu wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.