Zaburi 80:9
Psalms 80:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Uliandaa shamba kwa ajili yake, mizizi ikawa imara, ukajaza nchi.
Psalms 80:9 in English
Psalms 80:9 · Berean Standard Bible
You cleared the ground for it, and it took root and filled the land.
Context
7Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote, uturejeshe;
utuangazie uso wako,
nasi tuweze kuokolewa. 8Ulileta mzabibu kutoka Misri,
ukawafukuza mataifa, ukaupanda. 9Uliandaa shamba kwa ajili yake,
mizizi ikawa imara, ukajaza nchi. 10Milima ilifunikwa kwa kivuli chake,
matawi yake yakafunika mierezi mikubwa. 11Matawi yake yalienea mpaka Baharini,*
machipukizi yake mpaka kwenye Mto.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.