Native Bible

Psalms 80:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, hata lini hasira yako itawaka na kufoka moshi dhidi ya maombi ya watu wako?

Psalms 80:4 in English

Psalms 80:4 · Berean Standard Bible

O LORD God of Hosts, how long will Your anger smolder against the prayers of Your people?

Context

2mbele ya Efraimu, Benyamini na Manase. Uamshe nguvu zako, uje utuokoe. 3Ee Mungu, uturejeshe, utuangazie uso wako, ili tuweze kuokolewa. 4Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, hata lini hasira yako itawaka na kufoka moshi dhidi ya maombi ya watu wako? 5Umewalisha kwa mkate wa machozi, umewafanya wanywe machozi bakuli tele. 6Tumekuwa chanzo cha ugomvi kwa jirani zetu, na adui zetu wanatudhihaki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.