Native Bible

Psalms 80:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mbele ya Efraimu, Benyamini na Manase. Uamshe nguvu zako, uje utuokoe.

Psalms 80:2 in English

Psalms 80:2 · Berean Standard Bible

before Ephraim, Benjamin, and Manasseh. Rally Your mighty power and come to save us.

Context

1Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, wewe umwongozaye Yosefu kama kundi; wewe uketiye katika kiti cha enzi katikati ya makerubi, angaza 2mbele ya Efraimu, Benyamini na Manase. Uamshe nguvu zako, uje utuokoe. 3Ee Mungu, uturejeshe, utuangazie uso wako, ili tuweze kuokolewa. 4Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, hata lini hasira yako itawaka na kufoka moshi dhidi ya maombi ya watu wako?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.