Zaburi 80:6
Psalms 80:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tumekuwa chanzo cha ugomvi kwa jirani zetu, na adui zetu wanatudhihaki.
Psalms 80:6 in English
Psalms 80:6 · Berean Standard Bible
You make us contend with our neighbors; our enemies mock us.
Context
4Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote,
hata lini hasira yako itawaka na kufoka moshi
dhidi ya maombi ya watu wako? 5Umewalisha kwa mkate wa machozi,
umewafanya wanywe machozi bakuli tele. 6Tumekuwa chanzo cha ugomvi kwa jirani zetu,
na adui zetu wanatudhihaki. 7Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote, uturejeshe;
utuangazie uso wako,
nasi tuweze kuokolewa. 8Ulileta mzabibu kutoka Misri,
ukawafukuza mataifa, ukaupanda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.