Native Bible

Psalms 80:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mbona umebomoa kuta zake ili wote wapitao karibu wazichume zabibu zake?

Psalms 80:12 in English

Psalms 80:12 · Berean Standard Bible

Why have You broken down its walls, so that all who pass by pick its fruit?

Context

10Milima ilifunikwa kwa kivuli chake, matawi yake yakafunika mierezi mikubwa. 11Matawi yake yalienea mpaka Baharini,* machipukizi yake mpaka kwenye Mto.* 12Mbona umebomoa kuta zake ili wote wapitao karibu wazichume zabibu zake? 13Nguruwe mwitu wanauharibu na wanyama wa kondeni hujilisha humo. 14Turudie, Ee Mungu Mwenye Nguvu Zote! Tazama chini kutoka mbinguni na uone! Linda mzabibu huu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.