Native Bible

Psalms 79:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walipize jirani zetu mara saba vifuani mwao aibu walizovurumisha juu yako, Ee Bwana.

Psalms 79:12 in English

Psalms 79:12 · Berean Standard Bible

Pay back into the laps of our neighbors sevenfold the reproach they hurled at You, O Lord.

Context

10Kwa nini mataifa waseme, “Yuko wapi Mungu wenu?” Mbele ya macho yetu, dhihirisha kati ya mataifa kwamba unalipiza kisasi damu iliyomwagwa ya watumishi wako. 11Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako; kwa nguvu za mkono wako hifadhi wale waliohukumiwa kufa. 12Walipize jirani zetu mara saba vifuani mwao aibu walizovurumisha juu yako, Ee Bwana. 13Ndipo sisi watu wako, kondoo wa malisho yako, tutakusifu milele; toka kizazi hadi kizazi tutasimulia sifa zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.