Native Bible

Psalms 78:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliagiza amri kwa Yakobo na akaweka sheria katika Israeli, ambazo aliwaamuru baba zetu wawafundishe watoto wao,

Psalms 78:5 in English

Psalms 78:5 · Berean Standard Bible

For He established a testimony in Jacob and appointed a law in Israel, which He commanded our fathers to teach to their children,

Context

3yale ambayo tuliyasikia na kuyajua, yale ambayo baba zetu walituambia. 4Hatutayaficha kwa watoto wao; tutakiambia kizazi kijacho matendo yastahiliyo sifa ya Bwana, uweza wake, na maajabu aliyoyafanya. 5Aliagiza amri kwa Yakobo na akaweka sheria katika Israeli, ambazo aliwaamuru baba zetu wawafundishe watoto wao, 6ili kizazi kijacho kizijue, pamoja na watoto ambao watazaliwa, nao pia wapate kuwaeleza watoto wao. 7Ndipo wangeweka tumaini lao kwa Mungu, nao wasingesahau matendo yake, bali wangalizishika amri zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.