Native Bible

Psalms 78:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitafungua kinywa changu kwa mafumbo, nitazungumza mambo yaliyofichika, mambo ya kale:

Psalms 78:2 in English

Psalms 78:2 · Berean Standard Bible

I will open my mouth in parables; I will utter things hidden from the beginning,*

Context

1Enyi watu wangu, sikieni mafundisho yangu, sikilizeni maneno ya kinywa changu. 2Nitafungua kinywa changu kwa mafumbo, nitazungumza mambo yaliyofichika, mambo ya kale: 3yale ambayo tuliyasikia na kuyajua, yale ambayo baba zetu walituambia. 4Hatutayaficha kwa watoto wao; tutakiambia kizazi kijacho matendo yastahiliyo sifa ya Bwana, uweza wake, na maajabu aliyoyafanya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.