Native Bible

Psalms 77:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uliongoza watu wako kama kundi kwa mkono wa Mose na Aroni.

Psalms 77:20 in English

Psalms 77:20 · Berean Standard Bible

You led Your people like a flock by the hand of Moses and Aaron.

Context

18Ngurumo yako ilisikika katika upepo wa kisulisuli, umeme wako wa radi ukaangaza dunia, nchi ikatetemeka na kutikisika. 19Njia yako ilipita baharini, mapito yako kwenye maji makuu, ingawa nyayo zako hazikuonekana. 20Uliongoza watu wako kama kundi kwa mkono wa Mose na Aroni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.