Native Bible

Psalms 77:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njia yako ilipita baharini, mapito yako kwenye maji makuu, ingawa nyayo zako hazikuonekana.

Psalms 77:19 in English

Psalms 77:19 · Berean Standard Bible

Your path led through the sea, Your way through the mighty waters, but Your footprints were not to be found.*

Context

17Mawingu yalimwaga maji, mbingu zikatoa ngurumo kwa radi, mishale yako ikametameta huku na huko. 18Ngurumo yako ilisikika katika upepo wa kisulisuli, umeme wako wa radi ukaangaza dunia, nchi ikatetemeka na kutikisika. 19Njia yako ilipita baharini, mapito yako kwenye maji makuu, ingawa nyayo zako hazikuonekana. 20Uliongoza watu wako kama kundi kwa mkono wa Mose na Aroni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.