Zaburi 75:9
Psalms 75:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bali mimi, nitatangaza hili milele; nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo.
Psalms 75:9 in English
Psalms 75:9 · Berean Standard Bible
But I will proclaim Him * forever; I will sing praise to the God of Jacob.
Context
7Bali Mungu ndiye ahukumuye:
Humshusha huyu na kumkweza mwingine. 8Mkononi mwa Bwana kuna kikombe
kilichojaa mvinyo unaotoka povu
uliochanganywa na vikolezo;
huumimina, nao waovu wote wa dunia
hunywa mpaka tone la mwisho. 9Bali mimi, nitatangaza hili milele;
nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo. 10Nitazikatilia mbali pembe za waovu wote,
bali pembe za wenye haki zitainuliwa juu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.