Zaburi 75:7
Psalms 75:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bali Mungu ndiye ahukumuye: Humshusha huyu na kumkweza mwingine.
Psalms 75:7 in English
Psalms 75:7 · Berean Standard Bible
but it is God who judges; He brings down one and exalts another.
Context
5Msiinue pembe zenu dhidi ya mbingu;
msiseme kwa shingo zilizonyooshwa.’ ” 6Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi
au kutoka jangwani awezaye kumkweza mwanadamu. 7Bali Mungu ndiye ahukumuye:
Humshusha huyu na kumkweza mwingine. 8Mkononi mwa Bwana kuna kikombe
kilichojaa mvinyo unaotoka povu
uliochanganywa na vikolezo;
huumimina, nao waovu wote wa dunia
hunywa mpaka tone la mwisho. 9Bali mimi, nitatangaza hili milele;
nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.