Native Bible

Psalms 74:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiruhusu walioonewa warudi nyuma kwa aibu; maskini na wahitaji hebu walisifu jina lako.

Psalms 74:21 in English

Psalms 74:21 · Berean Standard Bible

Do not let the oppressed retreat in shame; may the poor and needy praise Your name.

Context

19Usiukabidhi uhai wa njiwa wako kwa wanyama wakali wa mwitu; usisahau kabisa uhai wa watu wako wanaoteseka milele. 20Likumbuke agano lako, maana mara kwa mara mambo ya jeuri yamejaa katika sehemu za giza nchini. 21Usiruhusu walioonewa warudi nyuma kwa aibu; maskini na wahitaji hebu walisifu jina lako. 22Inuka, Ee Mungu, ujitetee; kumbuka jinsi wapumbavu wanavyokudhihaki mchana kutwa. 23Usipuuze makelele ya watesi wako, ghasia za adui zako, zinazoinuka mfululizo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.