Native Bible

Psalms 74:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Inuka, Ee Mungu, ujitetee; kumbuka jinsi wapumbavu wanavyokudhihaki mchana kutwa.

Psalms 74:22 in English

Psalms 74:22 · Berean Standard Bible

Rise up, O God; defend Your cause! Remember how the fool mocks You all day long.

Context

20Likumbuke agano lako, maana mara kwa mara mambo ya jeuri yamejaa katika sehemu za giza nchini. 21Usiruhusu walioonewa warudi nyuma kwa aibu; maskini na wahitaji hebu walisifu jina lako. 22Inuka, Ee Mungu, ujitetee; kumbuka jinsi wapumbavu wanavyokudhihaki mchana kutwa. 23Usipuuze makelele ya watesi wako, ghasia za adui zako, zinazoinuka mfululizo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.