Native Bible

Psalms 68:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Mungu, wewe unatisha katika mahali patakatifu pako, Mungu wa Israeli huwapa watu wake uwezo na nguvu. Mungu Asifiwe!

Psalms 68:35 in English

Psalms 68:35 · Berean Standard Bible

O God, You are awesome in Your sanctuary; the God of Israel Himself gives strength and power to His people. Blessed be God!

Context

33mwimbieni sifa yeye apandaye mbingu za kale zilizo juu, yeye angurumaye kwa sauti kuu. 34Tangazeni uwezo wa Mungu, ambaye fahari yake iko juu ya Israeli, ambaye uwezo wake uko katika anga. 35Ee Mungu, wewe unatisha katika mahali patakatifu pako, Mungu wa Israeli huwapa watu wake uwezo na nguvu. Mungu Asifiwe!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.