Native Bible

Psalms 63:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimekuona katika mahali patakatifu na kuuona uwezo wako na utukufu wako.

Psalms 63:2 in English

Psalms 63:2 · Berean Standard Bible

So I have seen You in the sanctuary and beheld Your power and glory.

Context

1Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu, nakutafuta kwa moyo wote; nafsi yangu inakuonea kiu, mwili wangu unakuonea wewe shauku, katika nchi kame na iliyochoka mahali ambapo hapana maji. 2Nimekuona katika mahali patakatifu na kuuona uwezo wako na utukufu wako. 3Kwa sababu upendo wako ni bora kuliko uhai, midomo yangu itakuadhimisha. 4Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.