Native Bible

Psalms 61:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwongezee mfalme siku za maisha yake, miaka yake kwa vizazi vingi.

Psalms 61:6 in English

Psalms 61:6 · Berean Standard Bible

Increase the days of the king’s life; may his years span many generations.

Context

4Natamani kukaa hemani mwako milele, na kukimbilia chini ya uvuli wa mbawa zako. 5Ee Mungu, kwa kuwa umesikia nadhiri zangu, umenipa urithi wa wale wanaoliogopa jina lako. 6Mwongezee mfalme siku za maisha yake, miaka yake kwa vizazi vingi. 7Yeye na atawazwe kwenye kiti cha enzi mbele za Mungu milele; amuru upendo wako na uaminifu wako vimlinde. 8Ndipo daima nitaliimbia sifa jina lako na kuzitimiza nadhiri zangu siku baada ya siku.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.