Zaburi 61:7
Psalms 61:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye na atawazwe kwenye kiti cha enzi mbele za Mungu milele; amuru upendo wako na uaminifu wako vimlinde.
Psalms 61:7 in English
Psalms 61:7 · Berean Standard Bible
May he sit enthroned in God’s presence forever; appoint Your loving devotion and Your faithfulness to guard him.
Context
5Ee Mungu, kwa kuwa umesikia nadhiri zangu,
umenipa urithi wa wale wanaoliogopa jina lako. 6Mwongezee mfalme siku za maisha yake,
miaka yake kwa vizazi vingi. 7Yeye na atawazwe kwenye kiti cha enzi mbele za Mungu milele;
amuru upendo wako na uaminifu wako vimlinde. 8Ndipo daima nitaliimbia sifa jina lako
na kuzitimiza nadhiri zangu siku baada ya siku.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.