Native Bible

Psalms 60:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moabu ni sinia langu la kunawia, juu ya Edomu natupa kiatu changu; nashangilia kwa kushindwa kwa Ufilisti.”

Psalms 60:8 in English

Psalms 60:8 · Berean Standard Bible

Moab is My washbasin; upon Edom I toss My sandal; over Philistia I shout in triumph.”

Context

6Mungu amenena kutoka patakatifu pake: “Nitaigawa Shekemu kwa ushindi na kulipima Bonde la Sukothi. 7Gileadi ni yangu na Manase ni yangu; Efraimu ni kofia yangu ya chuma, nayo Yuda ni fimbo yangu ya utawala. 8Moabu ni sinia langu la kunawia, juu ya Edomu natupa kiatu changu; nashangilia kwa kushindwa kwa Ufilisti.” 9Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome? Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu? 10Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi, na hutoki tena na majeshi yetu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.