Zaburi 60:9
Psalms 60:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome? Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu?
Psalms 60:9 in English
Psalms 60:9 · Berean Standard Bible
Who will bring me to the fortified city? Who will lead me to Edom?
Context
7Gileadi ni yangu na Manase ni yangu;
Efraimu ni kofia yangu ya chuma,
nayo Yuda ni fimbo yangu ya utawala. 8Moabu ni sinia langu la kunawia,
juu ya Edomu natupa kiatu changu;
nashangilia kwa kushindwa kwa Ufilisti.” 9Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome?
Ni nani atakayeniongoza hadi nifike Edomu? 10Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi,
na hutoki tena na majeshi yetu? 11Tuletee msaada dhidi ya adui,
kwa maana msaada wa mwanadamu haufai kitu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.