Native Bible

Psalms 59:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanatangatanga wakitafuta chakula, wasipotosheka hubweka kama mbwa.

Psalms 59:15 in English

Psalms 59:15 · Berean Standard Bible

They scavenge for food, and growl if they are not satisfied.

Context

13wateketeze katika ghadhabu, wateketeze hadi wasiwepo tena. Ndipo itakapofahamika katika miisho ya dunia kwamba Mungu anatawala juu ya Yakobo. 14Hurudi jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji. 15Wanatangatanga wakitafuta chakula, wasipotosheka hubweka kama mbwa. 16Lakini mimi nitaziimba nguvu zako, asubuhi nitaimba juu ya upendo wako; kwa maana wewe ndiwe ngome yangu na kimbilio langu wakati wa shida. 17Ee uliye Nguvu zangu, ninakuimbia sifa. Wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu, Mungu unipendaye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.