Native Bible

Psalms 59:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hurudi jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji.

Psalms 59:14 in English

Psalms 59:14 · Berean Standard Bible

They return in the evening, snarling like dogs and prowling around the city.

Context

12Kwa ajili ya dhambi za vinywa vyao, kwa ajili ya maneno ya midomo yao, waache wanaswe katika kiburi chao. Kwa ajili ya laana na uongo wanaotamka, 13wateketeze katika ghadhabu, wateketeze hadi wasiwepo tena. Ndipo itakapofahamika katika miisho ya dunia kwamba Mungu anatawala juu ya Yakobo. 14Hurudi jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji. 15Wanatangatanga wakitafuta chakula, wasipotosheka hubweka kama mbwa. 16Lakini mimi nitaziimba nguvu zako, asubuhi nitaimba juu ya upendo wako; kwa maana wewe ndiwe ngome yangu na kimbilio langu wakati wa shida.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.