Zaburi 58:2
Psalms 58:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu, na mikono yenu hupima jeuri duniani.
Psalms 58:2 in English
Psalms 58:2 · Berean Standard Bible
No, in your hearts you devise injustice; with your hands you mete out violence on the earth.
Context
1Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki?
Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? 2La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu,
na mikono yenu hupima jeuri duniani. 3Waovu ni wapotovu tangu kuzaliwa kwao,
toka tumboni mwa mama zao
ni wakaidi na husema uongo. 4Sumu yao ni kama sumu ya nyoka,
kama ile ya fira ambaye ameziba masikio yake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.